fbpx

Maswali ya Mara kwa Mara

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA

Naomba soma hapo chini kama kuna swali lako ili uweze kupata jibu haraka. Kama swali lako halipo tutumie message sasa Whatsapp kwa kubofya HAPA au tupigie simu 0715 007 621 

  • Unga upi ni mzuri kwa mtoto anaeanza kula?

SupaOATS ni unga mzuri sana kwa mtoto anaeanza kula. Ni unga laini na mtamu, wenye ladha nzuri na virutubisho vingi na una fibers kwa wingi hivyo husaidia kwa kiasi kikubwa sana kuzuia na kuondoa kifunga choo. SupaOATS una Whole grain oats, korosho na almonds. Jipatie SupaOATS kupitia mawakala wetu sasa BOFYA HAPA

 

  1. Je, mama anayenyonyesha anaweza kutumia unga huu wa supalishe?

NDIYO. Mama anayenyonyesha anaweza kutumia unga wa supalishe. Unga huu una mahindi yasiyokobolewa, ufuta na Almonds zenye virutubisho ambavyo husaidia kuongeza uzalishaji wa maziwa hivyo kufanya mama kuwa na maziwa mengi sana. Jipatie supaLISHE kupitia mawakala wetu sasa BOFYA HAPA

 

  1. Mtoto wangu haongezeki uzito, nimpe uji wa unga gani aongezeke?

Unga wa supalishe na supaOATS ni nzuri sana kwa kuongeza uzito wa mtoto kwa muda mfupi kwa kuwa una virutubisho vingi. Ni vizuri kuongezea virutubisho zaidi kwa kutumia Unsalted butter, Greek yogurt, maziwa freshi, tui la nazi n.k kwenye mapishi yake. Jipatie SupaOATS kupitia mawakala wetu sasa BOFYA HAPA

 

  • Greek Yogurt ina tofauti gani na yogurt nyingine? Kwani nikitumia zingine ina shida?

Greek Yogurt ina kiwango mara mbili cha protini ukifananisha na Yogurt ya kawaida hivyo kuifanya kuwa bora sana kwa kujenga mwili na kuongeza uzito wa mtoto. lishe360 GREEK YOGURT pia ni laini (creamy) na ina probiotics ambazo husaidia kujenga kingamwili ya mtoto. Jipatie Greek Yoghurt kupitia mawakala wetu sasa BOFYA HAPA

 

  • Napikaje uji wa unga wa supaOATS/ supalishe? 

Kutazama video ya jinsi ya kupika uji wa supaOATS BOFYA HAPA

Kutazama video ya jinsi ya kupika uji wa supaLISHE BOFYA HAPA

 

  • Nazipataje bidhaa zenu?

Karibu. Jipatie bidhaa zetu kupitia mawakala wetu sasa BOFYA HAPA

 

  • Unsalted butter na Greek yogurt naweza kuhifadhi kwenye friza?

Greek yogurt inatunzwa kwenye friji tu ila Unsalted butter inaweza kutunzwa kwenye friji na friza pia. Jipatie Greek Yoghurt kupitia mawakala wetu sasa BOFYA HAPA

 

  • Mtoto haongezeki uzito, nifanye nini?

Suala la mtoto kutokuongezeka uzito huweza kusababishwa na vitu mbalimbali vinavyohitaji majadiliano na wataalamu wetu.

Karibu kwenye darasa upate ratiba, mipangilio & mapishi ya kuongeza uzito pia ukutane na wataalamu wetu kwa ajili ya kupewa mbinu za kumuongezea uzito mtoto. Jiunge na Darasa sasa BOFYA HAPA

Pia tuna unga wa uji wenye virutubisho vingi kama supalishe & supaOATS na bidhaa kama Greek yogurt na unsalted butter ambazo zina virutubisho vingi hivyo kusaidia kuongeza uzito wa mtoto kwa haraka. Jipatie supaLISHE & supaOATS kupitia mawakala wetu sasa BOFYA HAPA

 

  • Mwanangu hapendi kula kabisa, mnanisaidiaje?

Tuna darasa maalumu kabisa la lishe kwa watoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 5. Kwenye darasa hili utapata mbinu & ushauri mzuri kutoka kwa wataalamu wetu wa lishe utakaokusaidia kumlisha mtoto wako bila stress. Jiunge na Darasa sasa BOFYA HAPA

Pia tuna unga laini na mtamu wa uji wa supalishe & supaOATS na bidhaa kama Greek yogurt na Unsalted butter ambazo ni bidhaa pendwa kwa Watoto hata wale wanaochagua vyakula. Jipatie bidhaa zetu kupitia mawakala wetu sasa BOFYA HAPA

 

  • Nikitaka kumlisha mtoto wangu vyakula vigumu anatapika, nifanye nini?

Tuna darasa maalumu kabisa la lishe kwa watoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 5. Kwenye darasa hili utapata mbinu & ushauri mzuri kutoka kwa wataalamu wetu wa lishe utakaokusaidia kumlisha mtoto wako bila stress. Jiunge na Darasa sasa BOFYA HAPA

 

  • Mwanangu hapendi kula ananyonya tu, nifanyeje ili ale chakula?

Tuna darasa maalumu kabisa la lishe kwa watoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 5. Kwenye darasa hili utapata mbinu & ushauri mzuri kutoka kwa wataalamu wetu wa lishe utakaokusaidia kumlisha mtoto wako bila stress. Jiunge na Darasa sasa BOFYA HAPA

 

×