fbpx

Maelezo ya Bidhaa na Madarasa ya Lishe360

Maelezo ya Bidhaa na Madarasa ya Lishe360

Kuhusu unga wa supaLISHE

Unga huu ulio laini na mtamu ni mchanganyiko wa Mahindi Lishe, Mchele, Almonds na Sesame. Unaweza kutumia kutengeneza uji kwa ajili ya mtoto wako na misosi mingine mitamu ukichanganya na vitu vingine.

Faida zake

  • Unaongeza uzito kwa afya
  • Unaongeza hamu ya kula na una ladha nzuri sana
  • Una virutubisho vya kukuza ubongo wa mwanao kiafya
  • Unampa mtoto wako nguvu zaidi ya kuchezacheza na kufurahi

Pakti moja ya unga huu ni kilo 1.

Unaweza kupata unga huu sasa kupitia mawakala wetu nchi nzima kwa 12,000 tu. Tuma eneo ulilopo na tutakutumia wakala aliye karibu yako. Jipatie unga wako sasa ili mwanao aanze kunufaika na afya bora zaidi leo kama mzazi aliyetoa shuhuda hapo chini. Kuona orodha ya mawakala wetu nchi nzima ujipatie supaLISHE sasa BOFYA HAPA

 

Kuhusu unga wa supaOATS

Unga huu ulio laini na mtamu ni mchanganyiko wa Oats ambazo hazijakobolewa, Korosho na Almonds. Unaweza kutumia kutengeneza mlo mtamu kwa ajili ya mtoto wako utakaompa furaha na afya zaidi.

Faida zake

  • Unaongeza uzito kwa afya
  • Unaepusha constipation na kuboresha mmeng’enyo
  • Unaongeza kinga ya mwili ya mtoto asiumweumwe ovyo
  • Unaongeza hamu ya kula na una ladha nzuri sana
  • Una virutubisho vya kukuza ubongo wa mwanao kiafya

Pakti moja ya unga huu ni gramu 500.

Unaweza kupata unga huu sasa kupitia mawakala wetu nchi nzima kwa 12,000 tu. Tuma eneo ulilopo na tutakutumia wakala aliye karibu yako. Jipatie unga wako sasa ili mwanao aanze kunufaika na afya bora zaidi leo kama mzazi mwingine hapo chini. Kuona orodha ya mawakala wetu nchi nzima ujipatie supaOATS sasa BOFYA HAPA

 

 

Kuhusu Greek Yoghurt

Greek Yoghurt ni mtindi maalumu uliopunguzwa maji. Hili linafanya mtindi huu ulio laini na mtamu kuwa na virutubisho vingi zaidi vya protini katika kila kijiko. Greek Yoghurt ni msosi bora kwa mwanao kwa ukuaji wake. Unaweza kutumia wenyewe au kuchanganya na vitu vingine.

Faida zake

  • Unaongeza uzito kwa afya
  • Unaongeza kinga ya mwili ya mtoto asiumweumwe ovyo
  • Unaboresha mmeng’enyo
  • Unaongeza hamu ya kula
  • Una protini mara mbili ya mtindi wa kawaida hivyo unaboresha sana ukuaji wa mtoto

Container moja ya Greek Yoghurt ni gramu 360.

Unaweza kupata Greek Yoghurt sasa kupitia mawakala wetu nchi nzima kwa 10,000 tu. Tuma eneo ulilopo na tutakutumia wakala aliye karibu yako. Jipatie Greek Yoghurt yako sasa ili mwanao aanze kunufaika na afya bora zaidi leo kama mzazi mwingine hapo chini. Kuona orodha ya mawakala wetu nchi nzima ujipatie Greek Yoghurt sasa BOFYA HAPA

 

 

Kuhusu Unsalted Butter

Unsalted Butter ni siagi halisi ya ng’ombe iliyotengenezwa kutoka kwa maziwa asilia ya ng’ombe bila kuongezewa chochote. Siagi hii ni ongezeo zuri katika maandalizi ya vyakula vya mtoto wako ili kuvipa virutubisho na ladha tamu zaidi.

Faida zake

  • Inaongeza uzito wa mtoto wako kwa afya
  • Inafanya mifupa na meno viwe imara zaidi
  • Inaongeza hamu ya kula na kufanya vyakula viwe vitamu sana
  • Inaboresha mmeng’enyo
  • Inafanya ngozi ya mtoto wako iwe na afya bora zaidi

Container moja ya Unsalted Butter ni gramu 300.

Unaweza kupata Unsalted Butter sasa kupitia mawakala wetu nchi nzima kwa 10,000 tu. Tuma eneo ulilopo na tutakutumia wakala aliye karibu yako. Jipatie Unsalted Butter yako sasa ili mwanao aanze kunufaika na afya bora zaidi leo kama mama hapo chini anavyofurahia. Kuona orodha ya mawakala wetu nchi nzima ujipatie Unsalted Butter sasa BOFYA HAPA

 

Kama utakuwa na maswali yoyote kuhusu bidhaa zetu au mawakala tutumie message sasa Whatsapp kwa kubofya HAPA au tupigie simu 0715 007 621. Jipatie bidhaa hizi leo mwanao aanze kunufaika leo.

 

Kuhusu Madarasa ya Lishe360

TUMEANZA RASMI KUPOKEA WASHIRIKI WA DARASA JIPYA 

Tuna NAFASI 100 tu hivyo zikiisha hautaweza kuunganishwa. Darasa linaanza rasmi JUMAPILI tarehe 7 Januari 2024. Ukijiunga sasa utaanza kuhudumiwa wakati unasubiri darasa kuanza rasmi.

Unakaribia kujiunga na darasa maalumu la mapishi ya vyakula vya watoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 5.  

 

UNAPATA NINI KATIKA DARASA HILI?

▪️Vitabu vya mapishi matamu ya milo yote ya mtoto wako kuanzia miezi 6 hadi miaka 5. Hakuna tena kuumiza kichwa kufikiria nini cha kumpikia mtoto wako, tumeshakuandalia kila kitu. 

▪️Kitabu cha smoothie tamu zenye virutubisho tele za kuongeza uzito, za kuongeza wingi wa damu, za kuzuia na kuondoa kifunga choo na vingine vingi. 

▪️Video za mapishi mbalimbali ya vyakula vya mtoto wako. Jiandae kuwa mtaalamu wa mapishi ya vyakula vya watoto. 

▪️Masomo na mada muhimu sana za lishe bora kwa watoto zitakazokupa uzoefu na kukusaidia katika malezi hata kama ni mzazi mpya. Utalea mtoto wako bila stress. 

▪️Utaungwa kwenye group maalumu la WhatsApp pamoja na wazazi wengine linalosimamiwa na mtaalamu wetu. Utajifunza vingi na kupata uzoefu kupitia wazazi wengine. 

▪️Utaweza kuwasiliana na mtaalamu mwenye uzoefu kila unapokuwa na changamoto, maswali au kuhitaji ushauri. Hakuna tena kufanya vitu kwa kubahatisha. 

Darasa hili limeweza kubadili maisha ya maelfu ya wazazi na watoto wao. Tazama hapo chini kuona jinsi gani imebadili maisha ya mzazi mwenye mtoto kama wewe

 

JINSI YA KUJIUNGA

KUMBUKA: Tuna NAFASI 100 tu, zikiisha hautaweza kuunganishwa. 

Ada ya kujiunga ni 9,999 tu 

 

Darasa linafanyika kwa mwezi mmoja na group ni la kudumu. 

Kuna madarasa matatu. Moja la watoto kuanzia miezi 6 hadi 8, lingine la watoto kuanzia miezi 8 hadi 12 na lingine la watoto wenye mwaka 1 hadi 5. Mtoto akitimiza umri wa darasa lingine ndio unalipia ada tena.

 

JINSI YA KULIPIA

Kulipia tutumie message sasa Whatsapp kwa kubofya HAPA au tupigie simu 0715 007 621.

Kama una swali lolote usisite kuuliza hapo juu kwenye Whatsapp au tupigie simu.

Karibu sana.

Kama utakuwa na maswali yoyote kuhusu madarasa tutumie message sasa Whatsapp kwa kubofya HAPA au tupigie simu 0715 007 621. Jiunge na darasa leo mwanao aanze kunufaika leo.

×