Nesi Glory Anasema Nafurahia sana kuwa sehemu ya Familia ya mawakala wa Lishe360. Naweza kuwasaidia mama wengi wenye watoto wadogo na pia nimeongeza kipato kizuri. Nafurahi sana kuona jinsi wamama wanavyokuja clinic na watoto wameongezeka uzito na afya vizuri baada ya kuwahudumia.
Nufaika kupitia Fursa ya Uwakala kwa Manesi, Madaktari na Maafisa Lishe sasa. Jaza namba kisha bofya WASILISHA hapo chini kuipata.